EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, July 18, 2013

IMANI ZA KISHIRIKINA TAZARA: NJIWA ATUA NA BARUA YA VITISHO OFISINI


Njiwa akiwa na ujumbe wa barua kama inavyo onekana Njiwa akiwa amedhoofu kwa Baridi akiwa katika choo cha wanaume Hii ni sehemu alipokutwa Njiwa huyo Majengo nje ya Ofisi ya Afisa Mwajiri Baadhi ya wafanyakazi wakielekea eneo la tukio Afisa Mwajiri (Mwenye shati ya bluu) Na baadhi ya wafanyakazi wakishuhudia tukio Mashuhuda wakitoka eneo la tukio Barua iliyoletwa na Njiwa maeneo ya Ofisi ya Mwajiri upande wa mbele na nyuma Jengo la Ofisi ya Afisa Mwajiri Stesheni ya TAZARA kituo cha Mbeya  -------------- WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli, kati ya Tanzania na Zambia(TAZARA) jana walijikuta katika wakati...

No comments:

Post a Comment