Mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kizega wilayani
Iramba Bi. Mariamu Alphonce mwenye umri wa miaka kumi ameuwawa kikatili
kwa kukatwa shingo na kucharangwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili
wake na kaka yake bwana Elibariki Alphonce.
Akieleza kwa uchungu baba wa mtoto huyo bwana Alphonce Msengi
amesema alipofika nyumbani kwake majira ya saa kumi na moja jioni
alikuta damu nyingi na alipo angali vizuri alimuona mtoto wake Mariamu
Alphonce akiwa amekatwakatwa kwa mapanga na tayari alikuwa ameshafariki.
Bwana Msengi baada ya kuona hivyo alipiga yowe na walikuja majirani
na watoto na wakamwambia...
Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama
ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati …
Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo
ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao …
Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi …...
No comments:
Post a Comment