KIKOSI CHA MBEYA CITY KILICHO IRALIUA ASHANT UNITED WANAKINYAMANTULA 1-0
Azam Fc leo wakicheza kwao Azam Complex huko Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dar es
Salaam wameichap Ruvu Shooting Bao 3-0 na kukamata uongozi wa Ligi Kuu Vodacom.
Huko Mbeya, Wenyeji Mbeya City
wameifunga Ashanti Bao 1-0 na kupanda hadi Nafasi ya Pili wakiwa na
Pointi 26 sawa na Vinara Azam FC lakini wamezidiwa kwa ubora wa Magoli.
Bao za Azam FC, waliokuwa mbele kwa Bao 2-0 hadi Haftaimu, zilifungwa na Kipre Tchetche, Joseph Kimwaga na Khamis Mcha ‘Vialli’KIKOSI CHA YANGA KILICHI ICHAPA JKT RUVU 4-0 |
MATOKEO.Jumamosi Novemba 2
Mgambo Shooting 0 Coastal Union 0
Azam 3 Ruvu Shooting 0
Mtibwa Sugar 1 Rhino Rangers 0
Mbeya City 1 Ashanti United 0
No comments:
Post a Comment