EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, November 27, 2012

MASIKINI SHARO RIP BROTHER


huu ndio mwili wa marehemu muigizaji nguli wa filam za vichekesho nchini TanzaniaHUSSEIN RAMADHANI al maarufu Sharomilionea, ambaye amefariki jana kwa ajali yagari iliyotokea huko muheza mkoani Tanga majira ya saa mbili usiku,marehemu huyo anatarajiwa kuzikwa kesho siku ya jumatano hukohuko mkoani tanga kwa mujibu wa maelezo toka kwa ndugu wa marehemu huyo wamesema kuwa wameamua kupandisha siku ya mazishi ili kutoa forsa ya watu wengine kuwahi tiukio hilo muhimu la kuuaga mwili wa nguli huyo.

No comments:

Post a Comment