Mtumishi
wa Mungu Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) ambaye yuko nchini
Marekani kwa ziara maalum, atahudumu kwa waumini wa jiji la Washington
DC na vitongoji vyake siku ya kesho (Jumapili 07/07/2013)
Bwana Mgaya
ambaye pia hufahamika kama Mchungaji Mtarajiwa na ambaye amekuwa
akifanya huduma ya uhubiri nchini Tanzania, atahubiri katika ibada ya
jumapili katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES katika
ibada ya kawaida ya kila jumapili ambayo hufanyika kuanzia saa saba
kamili mchana mpaka saa tisa kamili alasiri (1:00pm - 3:00pm)Hii itakuwa ni huduma ya kwanza nchini Marekani kwa Mtumishi...
No comments:
Post a Comment