EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, February 6, 2014

Busara za kassim ngumbi leo MTO RUVUMA NA BWAWA LA KITERE VYAIMALIZA ELIMU YA KUSINI MWA TANZANIA.


watoto wakivua mto ruvuma ktk kijiji cha kitaya
NA: KASSIM NGUMBI
Kuwepo Kwa Mto Ruvuma Mpakani Mwa Tanzania Na Msumbiji Pamoja Na Bwala La Kitere Ambalo Ni Maarufu Kwa Uvuvi Wa Samaki Hasa Aina Ya Kambare Katika Mkoa Wa Mtwara Kumetajwa Kuwa Ni Sababu Moja Wapo Ya Ongezeko Kubwa La Ujinga Na Umasikini Katika Maeneo Yanayozungukwa Na Mikondo Hiyo Ya Maji Hapa Mkoanin Hili Limebainika Mara Baada Ya Mwandishi Wa Habari Hizi Kutembelea Katika Maeneo Hayo Na Kujionea Jinsi Wimbi Kubwa La Watoto 

Linavyojishughulisha Na Shughuli Za Uvuvi Wakati Wa Shule,  Wazazi Na Walezi Pamoja Na Wananchi Wengine Wanaoishi Maeneo Hayo Kama Vile Tangazo,Kitanya Na Kitere Wameeleza Kuwepo Kwa Tatizo Hilo Huku Wakieleza Ni Jinsi Gani Watoto Wao Wanavyoikosa Elimu Kutokana Na Kujihusisha Na Shughuli Za Uvuvi Baadhi Yao Walimweleza Mwandishi Wa Habari Hizi Kuwa Watoto Hao Wamekuwa Wakitoroka Kuelekea Bwawani Au Mtoni Na Kuanza Kufanya Shughuli Hiyo
“Asubuhi Huwa Tunawaandaa Na Wanaondoka Kwenda Shule Lakini Sisi 


Tunapoelekea Katika Shughuli Zetu Mbalimbali Kama Vile Kilimo Wao Hurudi Na Kwenda Kuvua Na Inakua Si Rahisi Kwa Wew Mzazi Kufaham Kwani Huwa Tunachelewa Kurud Toka Shamba Hivyo Tunazani Ya Kuwa Wtoto Walikuwa Shuleni” Alisema Moja Ya Wakazi Wa Kitaya Ndg Rashid  Hassani Lakini Hata Hivyo Utafiti Umeonyesha Kuwa Hali Ngumu Ya Maisha Wakati Mwingine Inapelekea Watoto Hawa Kujihisisha Na Uvuvi Katika Nyakati Za Shule Kwakuwa Wengi Wamekuwa Wakienda Shuleni Pasipo Kula Na Hushinda Mpaka Jioni Kwahiyo Hali Hii Inawapelekea Kuwaza Kuvua Ili Wajipatie Pesa Kwa Matumizi Yao Binafsi Watoto Wengi Sana Waishio Kandokando Mwa Ziwa,Mto Bahari Au Mabwawa Makubwa Kote Nchini Wamekuwa Wakikumbwa Na Janga Hili La Watoto Hao Kutopenda Shule Na Badala Yake Kujikita Kwenye Shughuli Za Kijamii Kama Vile Uvuvi Na Uuzaji Wa Samaki Na Vitu Vingine Viptikanavyo Majini Na Ni Matumizi Ya Binadam. Mara Nyingi Mkoa Wa Mtwara Umekuwa Ni Miongoni Mwa Mikoa Athirika Sana Kwani Hata Kwa Mtwara Mjini Changamoto Hii Ipo Ambapo Watoto Wengi Hukimbia Shule Na Kujikita Kutafuta Vididi Vya Baharini (Kumbwa) Na Vinginevyo Kutwa Mzima Ambavyo Wakati Mwingine Huwalazimu Kshinda Baharini Huku Faida Yake Ikiwa Ni Ndogo Mno Kwao Zaidi Ya Shule Ambayo Wameiweka Pembeni. Wadau Mbalimbali Wa Elimu Mkoani Mtwara Kwa Vipindi Tofautitofauti Hususani Vyombo Vya Habari Wameshawishi Sana Serikali Kuangalia Juu Ya Kufatilia Mahudhulio Ya Wanafunzi Katika Shule Mbalimbali Na Kuweka Angalizo Katika Maeneo Ya Feri Na Pwani Zote Zinazotumika Kwa Shughuli Hizo Kwakua Zinafahamika Na Si Za Siri Lakini Bado Hali Imeonekana Kuwa Si Mzuri Na Ufuatiliaji Wake Kama Ni Wakusuasua Hivi Swala Linalopelekea Kiwango Cha Elim Kwa Mikoa Ya Kusini Lindi Na Mtwara Kuendelea Kuporomoka Kila Muhula Wa Masomo Unapomalizika Kwa Mwaka Mzima Na Kupokea Matokeo Ya Kitaifa Ya Mitihani Mbalimbali Ikiwapo Ile Ta Taifa Ya Kidato Cha Nne,Cha Pili Na Darasa La Saba Tofauti Na Ilivyokua Wa Mikoa Mingine. Swala Hili Linafananishwa Na Maeneo Ambayo Yaligundulika Mariasili Ya Madini Jinsi Familia Za Maeneo Hayo Zinavyoumia Na Uwepo Wa Madini Hayo Kwani Watoto Wengi Wamekuwa Hawasomi Na Badala Yake Wanajikita Katika Uchimbaji Mdogomdogo Wa Madini Sasa Hii Ni Mbaya Kwa Taifa Hivyo Serikali Ni Lazima Ichukue Hatua Za Udhibitiu Katika Maeneo Kama Haya Hususani Yale Ya Mipakani Ambayo Yanaonekana Kutupwa Kiuangalizi Wa Maisha Ya Watu Na Watu Wamekuwa Wakiishiishi Tu Na Si Kuisi

No comments:

Post a Comment