EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, December 13, 2013

SOKA KABUMBU GOZI LA NG'OMBE NA MAANISHA MPIRA WA MIGUU KUTUPIWA MACHO NA TFF

FA MIKOA YAPATA MIPIRA MSAADA KUTOKA  TFF
FA MIKOA YAPATA MIPIRA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa mipira kumi kwa kila chama cha mpira wa miguu cha mkoa ili isaidie kuendesha ligi za mikoa husika.

 Mipira hiyo 250 yenye thamani ya sh. 16,250,000 tayari imeanza kutumwa kwa makatibu wa vyama vya mikoa husika. Mpira mmoja una thamani y ash. 65,000.

 Ni maratajio ya TFF kuwa mipira hiyo itakuwa chachu kwa vyama vya mikoa katika uendeshaji wa ligi hizo.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa mipira kumi kwa kila chama cha mpira wa miguu cha mkoa ili isaidie kuendesha ligi za mikoa husika. Hii ni katika kuimarisha na kuhakikisha  soka  lina piga hatua kuanzia ngazi za mikoa

Mipira hiyo 250 yenye thamani ya sh. 16,250,000 tayari imeanza kutumwa kwa makatibu wa vyama vya mikoa husika. Mpira mmoja una thamani y ash. 65,000.

Ni maratajio ya TFF kuwa mipira hiyo itakuwa chachu kwa vyama vya mikoa katika uendeshaji wa ligi hizo.

No comments:

Post a Comment