SWACOTZ FORUM
SWAHILI COMMUNICATION TANZANIA. We Provide News For You
EBENEZA MARCH 9 2014
![EBENEZA MARCH 9 2014](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhX1Q7zdSG0oVuNSCDCboQ8Ge8YWhyPXBSynkEvaaBm2vCuE_Oo559YIhjuOAroMXEcHIuEeBETMVXPUCmbyGwPoFXJoc68uJHjKYtfJfGwSOC0MFH21N-edmhyphenhyphenaWXCDUe8Be0DoVX0DIE/s1090/caver+ebenezer+tangazo.jpg)
SWACO
![SWACO](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiy8ugCgR89x0wrpk3CS3_XxmYvnepNRa6vh8SVMTpTWLuXOtUHRwuMX1H7y2Yu_UxcboTamrXue0YFkUjGnRSABHk9_RDxK04vl_WI-ItmF4eNf2A5eYsy-JS8p8conW3NCPN6VgU22dQ/s1600/RRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR.jpg)
royal
![royal](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiaPUP11xgQjHykwxTtNOdJDU8HF_eMvolome7QDmqqNkUrUrofGI77tgMKaCY9IRaeWlKxtDmfwqvfZoGWaoYZqg5eDha8K4ikzgV1Q9o1QaY2dO2JXtiaA14oxkUGe-nKrrpOgBQ_d0/s1600/royal.jpg)
tt
![tt](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3CXosysEVyhl32inmONbP2S_xLM9QA7izNIEymBOh9RfBqYRvKu8Sskr9c023fNFdz2BqPzL32N8KdStUNNQ_7K2rPdtfPMYI7KAB9tvAaVwMC1v1TTRfjTORjcMPiKutj2vISApQL1Q/s1600/clearance.jpg)
NIMO
![NIMO](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNrXY3MDDHVpCiuZOssRmIrLZNJdPPaAby4NDFF7Xu__dbR9skaWEGjk2JY_OyhiuAtO7P-isvCA_AMwxXE_JyHzEEhTCQs-0VigWjtOC5r072WZpW3BMpcwU7Vj77livpsPdBswErDYg/s1600/SSSSSSSSSSSSSSSSSS.jpg)
mvuto
Friday, October 28, 2016
KAULI YA FERGUSON JUU YA UBINGWA EPL 2016/2017 YAWATIA WAZIMU PEP, NA MOURINHO
MENEJA
LEKENDARI Sir Alex Ferguson anadhani Manchester City ndio wenye nafasi
kubwa kutwaa Ubingwa wa England Msimu huu huku akiwa kimya kuhusu nafasi
ya Kikosi cha Chelsea chini ya Meneja wao Antonio Conte.
Sir Alex Ferguson, mwenye Miaka 74, aliongea hayo akiwa huko Nurenberg, Germany alikokwenda kupokea Tuzo ya Walther Bensemann ambayo hutunukiwa Watu waliotoa Utumisha Uliotukuka kwenye Soka.
Tuzo hiyo hutolewa kwa ajili ya Kumbukumbu ya Bensemann ambae ndie anasemekana ni Muasisi wa Soka la Germany ambae alianzisha Jarida la Michezo, Kicker, Mwaka 1920.
Sir Alex Ferguson, mwenye Miaka 74, aliongea hayo akiwa huko Nurenberg, Germany alikokwenda kupokea Tuzo ya Walther Bensemann ambayo hutunukiwa Watu waliotoa Utumisha Uliotukuka kwenye Soka.
Tuzo hiyo hutolewa kwa ajili ya Kumbukumbu ya Bensemann ambae ndie anasemekana ni Muasisi wa Soka la Germany ambae alianzisha Jarida la Michezo, Kicker, Mwaka 1920.
HENDERSON WA LIVERPOOL NDIYE MCHEZAJI ALIYETEMBEA ZAIDI MSIMU HUU
![]() |
JORDAN HENDERSON |
Mtandao
wa kimataifa wa LFC umeripoti muda mfupi uliopita kuwa tafiti
zinaonyesha kwamba kiungo wa kati wa klabu ya Liverpool Jordan Henderson
ndiye mchezaji aliyeongoza kutembea umbali mrefu zaidi akiwa uwanjani
kwenye ligi kuu uingereza msimu huu kuliko mchezaji yeyote anayeichezea
ligi hiyo maarufu duniani.
kwa mujibu wa mtandao huo ni kwamba Henderson ametembea (106.49km)
MOURINHO, MOYES KWA ‘PILATO’ WA FA!
![]() |
KOCHA WA MANCHESTER UTD JOSE MOURINHO |
MOURINHO
Mourinho ameshitakiwa kutokana na matamshi yake juu ya Refa Anthony Taylor ambae Wiki iliyopita alichezesha pambano la Liverpool na Man United huko Anfield na kwisha 0-0.
Uamuzi huo wa FA umekuja baada ya Chama hicho kuona amevunja Sheria kwa kuongea kuhusu Marefa kabla ya Mechi wanayopangiwa.
Mara baada ya Refa Taylor, mwenye Miaka 37 na anaetoka Kitongoji cha Wythenshawe kilichopo Maili 6 tu toka Old Trafford Nyumbani kwa Man United huko Jijini Manchester, kuteuliwa kuliibuka malalamiko, na hasa Mashabiki wa Liverpool, ambao walilivalia njuga kwenye Mitandao ya Kijamii.
Subscribe to:
Posts (Atom)