Timu ya taifa ya brazil ambayo ndio mwenyeji wa michuano yafainal
za kombe la dunia imezindua jezi zitakazo tumika katika fainali hizo ambazo
zina tarajiwa kutimua vumbi mnamo mwezi juni mwakani.
Jezi hizo ambazo kampuni ya nike imetia mkono wake
katika kuzitengeneza, ubora wa jezi ndio ulio badilika, lakini rangi ya taifa hilo
imebaki pale pale ila kilicho boreshwa
katika uzi huo ni ubora wa material yalio tumika katika utengenezaji
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioFD1DoMH9JhrUCq8nB60gYEsi8lxxzyFM06IhoIPx2TCxVYQ22ifD-zFGsYR-oIwUL4kLKtjszlem3Hf_5RnzERnpepZKYHCedzfP0YmmPJ81j2iHYVXLymAi7yvN3GluOD-9MD4dB4s/s640/brazil.jpg)
No comments:
Post a Comment