EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 7, 2014

BARCA YATANDIKWA KIDUDE NA NAPOLI BILA MESSI NA NEYMAR



Club ya  Barcelona, jana imecheza mchezo wa kirafiki na klabu ya Napoli mechi iliyopigwa katika mji wa Geneva ikiwa ni moja kati ya zile mechi za harakati Ya kujiandaa na msimu mpa wa ligi kuu nchini Hispania na ligi mbalimbali ambazo klabuYA BARCELONA wanashiriki.
Katika mchezo wa jana Napoli ilishinda 1-0 bao pekee la Brelim Dzemaili. Mchezo ambao Barca ilicheza bila nyota wake watatu tegemezi kwa klabu hiyo ambao ni Lionel Messi, Neymar pamoja na Luis Suarez.

No comments:

Post a Comment