EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, February 16, 2014

BABA MZAZI WA WA ABDALLAH MASOUD (DULLA) ANAYECHEZEA AZAM FC NA TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA TANZANIA (YOUNG TAIFA STARS) AFUNGUKA JUU YA UKWELI KUHUSU MWANAWE.................MSIKILIZE MZEE MASOUD HAPA.......

MZE MASOUD AHMAD..BABA MZAZI WA MCHEZAJI ABDALLAH MASOUD WA AZAM NA TIM YA TAIFA


NA:KASSIM NGUMBI...........Mtwara
Mzee Masoud Ahmad Athumani  Baba Mzazi Wa Mhezaji Nyota Chipukizi Anayechezea Klabu Ya Azam Fc Kwa Sasa Abdallah Masoud (DULLA) Ametoa Shukrani Zake Za Dhati Kwa Uongozi Wa Wilaya Ya Mtwara Vijijini Upande Wa Michezo Kwa Kumtoa Kijana Wake Na Hatimaye Hivi Sasa Amefikia Kiwango Cha Kuchezea Timu Ya Taifa Mze Masoud Aliiambiaswacotz FORUM Ilipomtembelea Kijijini Kwake Msimbati Mtwara Vijijini Kuwa Dulla Alizaliwa Katika Kijiji Cha Msimbati Na Alilelewa Hapo Harakati Za Soka Alizianza Toka Akiwa Mdogo Ambapo Alikua Akichezea Timu Za Shule Toka Shule Ya Msingi Mpaka Amefikia Sekondari Ambapo Sasa Ana Umri Wa Miaka 17 Baada Ya Juhudi Zake Za Soka Kuonekana Katika Ushiriki Wa Michuano Ya Umiseta Baadaye Uongozi Wa Wilaya Ulimhamisha Na Kumpeleka Mtwara Mjini Ambako
MZE MASOUD
Alianza Kuchezea Timu Ya Vijana Iitwayo COAST Na Baada Ya Hapo Mwaka Jana Aliondoka Na Kuelekea Azam Fc Ambako Alipokelewa Na Mpaka Sasa Yupo Huko,Pia Amesema Kuwa Mpaka Sasa Yeye Na Kijiji Kizima Kwa Ujumla Wamekuwa Wakijisikia Faraja Sana Kuona Kwamba Wana Uwakilishi Kubwa Katika Klabu Kubwa Pamoja Na Timu Ya Taifa Na Pia Wanaamini Kuwa Kijana Wao Ataendelea Kufanya Vizuri Katika Tathnia Ya Soka Hapa Nchini Na Nje Ya Nchi Kwani Bado Wanamuombea Mungu Aweze Fanya Vizuri Zaidi Ya Hapo Alipo Sasa.

No comments:

Post a Comment