KUSHOTO NI M?KITI UMOJA WA VIJANA CCM MTWARA VIJIJINI MH:SELEMAN SANKWA ,KATKATI KATIBU CCM MTWARA VIJIJINI Mh:SOLOMONI NA MWISHO NI KIONGOZI WA VIJANA WA KATA |
Uongozi Wa Umoja Wa Vijana Ccm Jana Umepokea Ujumbe Mzito Unaoambatana Na Kashifa Za Rushwa Na Makundi Ndani Ya Vyama Vingine Vya Siasa Nchini Ambavyo Vimechukua Dola Katika Baadhi Ya Maeneo Ndani Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Mtwara Kwa Upande Wa Mtwara Vijijini Katika Msafara Wake Jana Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Wa Wilaya Katika Halmashauri Ya Mtwara Vijijini MH: Selemani Sankwa Alioambatana Na Katibu Wa Ccm Wa Wilaya MH: Saimon Walitembelea Katika Kijiji Cha Msimbati Ndani Ya Jimbo La Mbunge Ambaye Pia Ni Waziri Wan Chi Ofisi Ya Waziri Mkuu Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Mh: Hawa Ghasia Katika Mkutano Wa Ndani Wa Umoja Wa Vijana Uliokuwa Na Tukio Kubwa La Kuwakaribisha Vijana 40 Waliotoka Katika Vyama Vingine Na Kuhamia Chama Cha Mapinduzi Kwa Madai Ya Kutafuta Sehem Ambayo Watakuwa Wakisikilizwa Na Kushirikishwa Katika Mambo Mbalimbali Hasa Kwenye Fulsa Za Masuala Ya Kimaendeleo Bila Ubaguzi Kama Ule Ambao Wamesema Kuwa Wameuona Katika Vyama Wanavyotokea Kwa Sasa. Katika Maelezo Yao Vijana Hao Mbele Ya Uongozi Huo Wa Chama Ngazi Ya Wilaya Walijieleza Kwa Awamu Ambapo Wengi Wao Walileta Malalamiko Ya Uonevu Kutengwa Na Rushwa Ndani Ya Vyama Hivyo Ambapo Moja Kati Ya Wazungumzaji Kwa Niaba Ya Vijana Wengine Aliyejitambulisha Kama AHMAD FADHILI Alisema Kuwa Kero Kubwa Ni Kuhusiana Na Suala La Ajira Ukizingatia Kuwa Msimbati Ndio Sehem Ambayo Gesi Imegundulika Kwa Hapa Mkoani Mtwara Na Kuna Makampuni Mengi Yamekuja Yanafanya Shughuli Mbalimbali Zikiwemo Zile Za Survey Lakini Wao Wamekuwa Hawapewi Kipaumbele Kama Wenyeji Isipokuwa Uongozi Wa Kijiji Ambao Ni Wa Chama Cha Cuf Pamoja Na Mtendaji Wa Eneo Hilo Wamekuwa Wakiwaleta Watu Toka Mjini Kuja Kufanya Kazi Huku Wengine Wakitokea Mikoa Mbalimbali Wakati Shughuli Wanazokuja Kuzifanya Hata Wao Wanazifaham.
DIWANI WA KATA YA MADIMBA MH: SADALA |
Lakini Pia Kwa Upande Wake Diwani Wa Kata Ya Madimba Mheshimiwa SADALA Wakati
Akitoa Neon La Kuwatoa Hofu Vijana Alikiri Kupokea Maneno Ya Kuthibitishwa Kiwa
Vijana Wanapokwenda Kwa Mtendaji Kuomba Kazi Mara Nafasi Zinapotangazwa Huwa
Wanaambiwa Watoe Shilingi Elfu Hamsini Suala Ambalo Si Zuri Kwani Ni Rushwa Na
Mtu Huwezi Pata Pesa Bila Kufanya Kazi Hivyo Amewataka Vijana Kutoa Ushirikiano
Kwa Kuwasema Wale Wanaofanya Vitendo Visivyoeleweka Kwa Jamii Hususani Kwao
Vijana Wenyewe . Lakini Kwa Upande Wa Viongozi Walioko Ndani Ya Msafara Huo Kwa
Upande Wake NDG Sankwa Alieleza Kusikitishwa Na Hali Hiyo Na Akaahidi Kukutana
Na Uongozi Wa Serikali Ngazi Ya Wilaya Mpaka Mkoa Na Kujadili Suala Hilo Lakini
Pia Katika Hali Nyengine Amewachangia Vijana Hao Tshilingi Elfu Ishirini Kama
Pesa Ya Kufungulia Account Ya Bank Na Wasajiri Kikundi Chao Ili Waweze Kupata
Mkopo Toka Halmashauri Lakini Pia Alisema Wao Kama Wenyeji Wa Ccm Wamewapokea
Vijana Hao Na Waahidi Kuwapa Ushirikiano Wa Kutosha Ili Waweze Kukwamuka Na
Hali Mbaya Ya Kimaisha Lakini Pia Ameweza Kuwapatia Mipira Miwili Kwa Ajili Ya
Michezo Kwa Vijana Hao. Nae Katibu Wa Chama Wilaya NDG Solomoni
Akizungumzia
Juu Ya Suala La Vitisho Kwa Vijana Wanavyofanyiwa Na Baadhi Ya Makundi Ya
Vijana Wenzao Aliwataka Vijana Kuwa Na Moyo Wa Ukakamavu Na Kuamini Katika Kile
Wanachokiamini Huku Wakichapa Kazi Kupitia Fulsa Mbalimbali Watakazopewa Lakini
Pia Alieleza Hali Ya Ysalama Wa Mkoa Wa Mtwara Kuwa Sasa Ni Shwari Na Serikali
Iko Machokuhakikisha Haibadiliki Na Kurudi Kama Awali Hivyo Chama Cha Mapinduzi
Pia Ni Miongoni Mwa Wapenda Amani Na Iwapo Mtu Ataripotiwa Kutishia Maisha Yao
Au Kufanya Lolote Baya Basi Wao Kama Chama Watamfikisha Kwenye Vyombo Vua Dola
Waweze Kushughulikiwa.
MUONEKANO WA TUKIO MBELE NI BAADHI YA VIJANA WALOHUDHULIA KIKAO |
No comments:
Post a Comment