EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, January 26, 2014

MILAN YASHINDA 2-I BALOTELI NAYE APACHIKA BAO

TIMU ya AC Milan imeifunga Cagliari mabao 2-1,shukrani kwao Mario Balotelli na Giampaolo Pazzini waliofunga mabao hayo.
Ilikuwa furaha kwa kocha moya Clarence Seedorf baada ya vijana wake kulipiku bao la mapema la Marco Sau na kuibuka na ushindi huo.

No comments:

Post a Comment