EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, January 26, 2014

CHELSEA IMEKAMILISHA USAJIRI WA MMISRI Mohamed Salah KUTOKA FC Basel


mohamed salah
meneja wa klabu ya chelsea ya nchini uingereza jose mourinho ametoa matangazo ya awali  kwa hatua ya nne ya fa cup dhidi ya stock city katika uwanja wake wa nyumbani stanford bridge siku bya jumapili  ingawa katika maelezo yake mourinho hakuweka wazi juu ya malipo ya kumnunua mchezaji huyo mwenye asiri ya afrika lakini mtandao mmoja wa masuala ya michezo wa sky sports umesema kua umebaini bei ya manunuzi ya mchezaji huyo kuwa ni £15million. mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amepewa mkataba mnono wa miaka mitano na nusu na klabu hiyo imesema kuwa tayari imekwisha muandalia jezi namba 15 atakayoitumia kwa muda wake wa kuitumikia klabu hiyo.
akizungumza kupitia mtandao maalum wa klabu ya chelsea salah amesema kuwa  anajisikia furaha kupata mkataba kwenye klub kubwa na anatumaini atawapa faraja mashabiki wa chelsea.
"i'm very happy to sign for such a big club. i hope i can make the chelsea supporters happy."
kiungo huyo anakuwa ni mchezaji wa tatu kusainiwa na chelsea katika usajiri wa dirisha dogo la mwezi wa january mwaka huu mara baada ya klabu hiyo kukamilisah usajiri wa  bertrand traore and nemanja matic. salah pia anakua ni mchezaji wa kwanza toka nchi ya misri kusajiriwa na klabu ya chelsea nah ii inampa mourinho nafasi ya kuziba mapengo yaliyoachwa na juan mata pamoja na kevin de bruyne
siku ya ijumaa kabla ya usajiri huu kukamilika mourinho alitoa taarifa ya kwamba yuko mbioni kumsajiri mchezaji ambaye amefunga mabao 17 ndani ya mechi 27 alizoichezea timu yake ya taifa ya egypt mourinho alisema kuwa wanafirkiri wao kama klabu kumpata salah ambaye atakutana na (andre) schurrle, (eden) hazard, oscar na willian watafanya vizuri sana.
"we think with him and (andre) schurrle, (eden) hazard, oscar and willian we will be fine.
alisema unapompoteza mchezaji mzoefu kama juan mata ni lazima uhitaji kuwa na wachezaji wadogo na chipkizi ambao pia wanakipaji na uwezo mzuri. akimuelezea salah mourinho alisema ni mchezaji mwenye uzoefu kupitia ligi kama uefa ama uropa lig na anaamini ukimuingiza leo msituni kuwinda kwa ligi kama ya uingereza ni lazima ashinde. alisema anaamini amefika na anaamini kwa kuungana na wachezaji wengime wenye vipaji basi watakua wamefikia malinego ya ushindi. salah ameshinda mara tatu kati ya mara nne ya mechi ambazo amekutana na chelsea na pia alikua ni miongoni mwa mipango ya kocha mkuu wa liverpool brenden rodgers.

No comments:

Post a Comment