EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, January 26, 2014

DAVID MOYES: MATA NI MWANZO TU KAZI YAJA



david moyes akiwa na mata aliyevaa suti nyeusi

kikosi cha mabingwa wa ligi nkuuu nchini uingereza manchester united chini ya kocha wake wa sasa david moyes mara baada ya kukamilisha usajiri wa juan mata kutokea klabu ya chelsea hapo siku ya jana kocha wa mkuu ambaye ni moyes ameviambia vyombo vya habari nchini uingereza kuwa kwa sasa manchester united bado iko nyuma katika msimamo wa ligi hiyo na matumaini ya kuchukua  ubingwa wa premier ni kama yamepotea hivi ila anaamini kuwa timu hiyo itamaliza mechi zake za ligi ikiwa big four na kutinga katika michuano ya klabu bingwa ulaya kwa maana ya uefa championz ligi sambamba na hilo moyes pia ameeleza kuwa anamipango ya kusajiri wachezaji wengi wakubwa na wenye uwezo wa kuisaidia timu hiyo ambayo kwa sasa imeonekana kupooza na kwamba mata ni mwanzo tu wa utekerezaji wa mipango yake hiyo.
"this is the first, and there will be many more to come in time. i want the quality of juan to be the start of it," moyes told mutv.
“amesema afikikirii kama watakuwa na wachezaji wengi wapya katika usajiri huu wa january ila anachofanya ni jitihada zaidi na anatumaini mata atakua ni mwanzo wa kuwa na wachezaji wengi wapya ndani ya manchester united ambao watasajiriwa katika majira ya kiangazi” alisema kocha huyo wa man u
"i don't think we will have any more (new signings) in january - i'm still working on it and looking to do so. but hopefully it will be the first of some new signings, some new players who will arrive, more likely in the summertime.
moyes puia amesema kuwa anakubali hawajafanya vizuri katika hizi siku na hawajafanya kile ambacho wao kama tim walitaraji kukifanya lakini anajitahidi kuhakikisha anasajiri wachezaji wapya na wenye uwezo ili waje kuisaidia man u kufanya kile wanachokusudia kukifanya kwa ajiri ya mashabiki wao.
"undoubtedly we could all do with a bit of a lift. we have not done as well as we would have liked to do. we see this as the start, we have to look to improve and i'm going to try to bring in some new players to make that happen.
“ninahitaji kuijenga tim, ninahitaji kushinda,na ninahitaji kuwapa mashabiki kile ambacho sijawapa na ninaamini nnitawapatia na kufanikisha yote haya” alisema moyes katika mazungumzo yake na kituo cha televisheni cha klabu hiyo kiitwacho man u tv
"i want to build an exciting team, i want to win and i want to give the supporters something to shout about - i've not done that often enough."



No comments:

Post a Comment