
Rais Omari Al Bashir wa Sudan jana alilazimika kutoroka nchini
Nigeria baada ya mikakati ya kumkamata kuvuja..
Rais Bashir aliyekuwa anahudhuria mkutano wa viongozi wa serikali za
nchi za Muungano wa Afrika AU, kuhusu afya mjini Abuja amelezimika
kuukatisha mkutano huo na kutoroka nchini humo jana Jumatatu kwa
hofu ya kukamatwa
Rais huyo ameondoka nchini Nigeria ikiwa ni chini ya masaa 24
tangu ...
No comments:
Post a Comment