EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, October 18, 2013

MABARAZA YA ARDHI MOROGORO HUENDA IKAWA NDIO CHANZO CHA MIGOGORO YA ARDHI MKOANI HUMO



Mwananchi akichangia katika mkutano wa ardhi mjini Morogoro
IMEELEZWA kuwa uelewa mdogo wa sheria kwa kamati na mabaraza ya ardhi za vijiji, imeelezwa kuwa chanzo kikubwa cha ongezeko la migogoro ya ardhi katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.

Hayo yamefahamika wakati wa kongamano la siku tatu kwa viongozi wa mabaraza na kamati za ardhi za kata, katika Tarafa za Magole na Mamboya wilayani Kilosa.
wananchi wakisikiliza maelezo ktk kongamano
Kongamano hilo limebaini uwepo wa uelewa mdogo wa sheria za ardhi kwa wajumbe na viongozi wa kamati na mabaraza ya ardhi katika vijiji, kata na tarafa na kushindwa kutatua Migogoro ya mara kwa mara

No comments:

Post a Comment