EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, July 19, 2013

MTWARA YAGEUKA UWANJA WA VITA WALIOWAHI KUTEKWA NA ASKALI WAPATIKANA HAWA HAPA NA USHUHUDA WAO


 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka (kulia) ni, Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mtwara Mjini, Ismaili Njalu. Katibu wa Wilaya ya Mtwara mjini, Said Kulanga na Mwenyekiti wa Wilaya ya Mtwara mjini, Salum Mohamed wakiwaonesha waandishi wa habari majelaha waliyoyapata baada ya kupigwa na Wanajeshi wa Wananchi (JWTZ) katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Chama hicho Dar es Salaam.--------------CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaandaa utaratibu wa kufungua kesi mahakamani dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa watendaji wa chama hicho.Akizungumza na waandishi...

BASI LA NAJMUNISA LAPATA AJALI NA KUUA WANNE DODOMA

Basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma na kuua watu wanne huku likiacha majeruhi kadhaa.Basi hilo lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele.Mali za abiria inaelezwa zipo salama kutokana na uwepo wa Check Point ya polisi jirani na eneo la ajali. make_video('http://youtu.be/FZQPuD7KcNc','media_1966','http://www.itv.co.tz/media/image/19-JULY-AJALI1.jpg'); ...

No comments:

Post a Comment