EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, July 19, 2013

MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE AMWAGIWA TINDIKALI


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 Taarifa za awali zinadai kwamba Mfanyabiashara Said Mohamed Saad ambaye ni Mmiliki wa Home Shopping Centre (Dar), amwagiwa tindikali  saa mbili  ya usiku  huu maeneo ya Msasani City Mall .... Taarifa  hizo  zinadai  kwamba  mtuhumiwa  aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio ...

BAADA YA JANUARY MAKAMBA KUDAI KUWA MNYIKA NI "MNAFIKI".....ZITTO KABWE NAYE AMEAMUA KUINGILIA KATI MZOZO HUO

Hizi  ni  tweets  za  viongozi  wetu  wakitupiana  lawama  kuhusu  swala  la  kodi  ya  line  kiasi  cha  kuitana  "MNAFIKI"....   ...

No comments:

Post a Comment