EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, July 19, 2013

MABOMBA YA GESI MTWARA YAKIWEKWA RANGI MBELE YA WAZIRI MKUU

clip_image001Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua utelemshaji wa mabomba ya gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa chini ya ardhi kusafisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam. Kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dr. Lu na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini , Stephen Masela. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa China nchini, Dr. Lu kabla ya kushuhudia upakuaji wa mabomba ya gesi kwenye bandari ya Mtwara , Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia (wapili kushoto) wakati alipozindua utelemshaji wa mabomba ya gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara, Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kuwezesha usafirishaji wa gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Hassan Kasuguru,nahodha alieingiza bandarini Mtwara meli yenye mabomba ya gesi kutoka China wakati alipozindua upakuaji wa mabomba hayo Julai 18, 2013.

No comments:

Post a Comment