![]() |
KOCHA MKUU NDANDA FC..DENIS KITAMBI (TISHETI YA BLUE) |
![]() |
WACHEZAJI NA WAAMUZI WAKITOKA UWANJANI BAADA YA MPIRA KUMALIZIKA |
![]() |
WACHEZAJI WA NDANDA WAKICHOJOA VIATU BAADA YA MCHEZO |
ndanda sasa kwa mijibu wa kocha wao Denis Kitambi jumamosi ijayo watacheza na timu ya Green Warrious toka dar se salaam hapahapa mkoani mtwara ikiwa ni mechi yao ya mwisho kucheza nymbani katika zile tatu ambapo mechi ya kwanza waliweza kuifunga Afrikan LYION bao moja kwa nunge jumamosi iliyopita ya february 22.
![]() |
NDANDA HAOOOOO |
![]() |
NDANDA WAKIFURAHIA USHINDI |
No comments:
Post a Comment