![]() |
MH:MKUU WA WILAYA YA LINDI DR,AHMAD MASOUD AKIWASIRI ENEO LA TUKIO..MWENYE SUTI |
NA KASSIM NGUMBI....Mtwara
Kanisa La Angalikana Dayosisi Ya Rondo Imeazimisha
Siku Maalum Ya Mazingira Kwa Kaulimbiu Isemayo Acha Alama Rondo Kwa Lengo La
Kuhifadhi Na Kutunza Mazingira Katika Hafla Hizo Zilizofanyika Ndani Ya Viwanja
Vya Shule Ya Seminari Ya Rondo Zilihudhuliwa Na Viongozi Wa Kiserikali Pamoja
Na Viongozi Wa Kidini Miongoni Mwao Alikuwapo Mkuu Wa Wilaya Ya Lindi Dr,Ahmadi
Masoud Ambaye Ndiye Mgeni Rasmi,Kaimu Injinia Wa Maji Lindi
Vijijini,Ndg,Rodriki Ernest Mbepela,
![]() |
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA LINDI MH,SELEMANI NGAWEJE |
Afisa Afya Na Mazingira Toka Wilaya Ya
Lindi Ndg,Ismail Mbani,Kaimu Afisa Afya Ndg Evan Ndamwaga,Kaimu Mkurugenzi Wa
Lindi Ambae Pia Ni Afisa Mipango Wa Wilaya Hiyo Ndg,Selemani Ngaweje,Kamanda Wa
Takukuru Wilaya Bi<Emmy Kabuje Aliyemwakilisha Kamanda Wa Takukuru Mkoa,Na
Wengine Wengi Toka Taasisi Mbalimbali Akiwamo Makamu Askofu Wa Angalikana Baba
Karo Markus.
Katika Ghafla Hii Lengo Kuu Lilikuwa Ni Kuhimizana Na Kukumbushana
Kuhusu Suala Zima La Utunzaji Mazingira Ambapo Kwa Upande Wa Taasisi Kupitia
Mratibu Wao Ndg,
Linus John Buriani Toka
![]() |
KAMANDA WA TAKUKURU WILAYA LINDI BI,EMMY KABUJE (KATIKATI) |
![]() |
AFISA MAJI WA LINDI NDG,ISMAIL MBANI |
Idara
Ya Miradi, Kilimo Na Mazingira
Rondo Junior Seminary
Wao Wamesema Kuwa Wanafanya Kazi Moja Kwa Moja Juu Ya Suala La Utekerezaji
Harakati Za Utunzaji Mazingira Ikiwamo Kufanya Miradi Inayolenga Uhifadhi Kama
Vile Upandaji Miti Na Ufugaji Wa Nyuki,![]() |
MKUU WA CHUO CHA NENO LA KIROHO RONDO NDG,KENEDY DEOGRAS |
![]() |
KAIMU ASKOFU BABA KARO MARKUS |
![]() |
INJINIA WA MAJI LINDI NDG ERNEST MBEPELA |
HIZI CHINI NI TAARIFA ZOTE ZA HAFLA HIYO ZIKIWEMO HOTUBA....
MWENDELEZO WA PICHA ZA MATUKIO..
![]() |
WANAFUNZI WA RONDO SEMINARI WAKIIMBA WIMBO WA SHULE |
![]() |
MKUU WA WILAYA AKIPANDA MTI |
![]() |
ZAWADI YA MAZINGIRA WALIYOPEWA RONDO |
![]() |
BAADHI YA WAHUDHILIA WA TUKIO WAKIPANDA MITI KATIKA SHAMBA LA MFANO |
![]() |
KAIMU ASKOFU AKIPANDA MTI |
KANISA
ANGLIKANA TANZANIA
DAYOSISI YA
MASASI
RONDO JUNIOR
SEMINARY
TAARIFA
YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA NITUNZE MAZINGIRA KATIKA KILELE CHA SIKU YA
MAZINGIRA YA SEMINARI YA RONDO, TAREHE 01/MARCH/2014
SALAMU
NduguMgeniRasmi–Mh.
MkuuwaWilayayaLindi
Baba
Vicar General-Fr.Carlos Marcus, pamojanaViongoziwotewaOfisikuuMtandi
KamandanaMkuuwa
TAKUKURU Mkoa
MarafikizetuwaMabenkinaMakampuniyaMawasiliano
Idarambalimbalizilizopo
Kata yaMnara
Rafikizangu
UMOJA WA VIJANA kutokaMasasi
Jamiiyoteya
Chuo naSeminari
WageniwenginewotewaalikwamabibinaMabwana
Bwana YesuAsifiwe,
NduguMgeniRasmi,
NipendekuchukuafursahiikipekeekumshukuruMgenirasmikwakukubalimwalikowetu,
Umeacha mambo
mengiyakiofisinakifamiliaukaamuakujakushirikipamojanasikatikasikuhiimuhimusanakwetu.
NiwashukuruViongozikutokaOfisiKuukipekee Baba Vicar General
natimuyakoyotekwakuacha mambo mengiyaOfisininakukubalikuwanasileo.
Niwashukuruniwageniwenginewotekwaujumlawenunanyikwasehemumumejidhatitikujakutupamoyokwakazihiikubwatuliyoianza.Najuahaliyahewanichangamotokwenunapenginemiundombinuyabarabara,lakininiimaniyangukuwamutafurahiauwepowenuhapa.
NduguMginiRasmi,
Kwakutambuajitihadazakutunzamazingirazinazofanywanaserikalipamojanamashirikayasiyoyakiserikali,
DayosisiyaMasasikupitiaTaasisiyakeyaSeminariya Rondo ilibunimradimdogowakutunzamazingiraambaounadhamirayakuyafanyamazingirayetukuwasehemu
bora kwakusomanakujifunza (Making Rondo Seminary a better place for learning
and studying)
HiinikuendeleakusaidiaharakatimbalimbalizinazofanywanaSerikalikupitiaDirayaMaendeleo
(2025), MpangowaKukuzauchuminaKupunguzaumaskini (MKUKUTA)
naMalengoyaWizarayaMisitunaMazingirakupitia sera yaMisitunaMazingirakwapamojazikilenga
safari yakufikiakilele cha malengoyaMilenia 2015 lengonamba 8.
KutokananaharakatihizoMradiwaNitunzeMazingiraunamalengoyafuatayo.
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
Hiiitasaidiakupunguzaatharizatabianchiambazowotenimashahidiwamabadilikomakubwayahaliyahewanahasakatikamaeneoyetu
.
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
NduguMgeniRasmi,
Kwakutambuaumuhimuwakushirikiananawadaumbalimbalikatikakufanikishajambohilitaasisiinashirikianakwakaribusananawakalawamisitunamaliasiliwalioko
Rondo Ntene,Taasisizabenkimarafikimbalimbalikutokasehemumbalimbali.NipendekuwashukurusananduguzetuwaWakalawaMisitunaMaliasili
Rondo NtenekwamchangowaomkubwawanaoutoakwetukamaTaasisi. Ni imaniyetukamaDayosisiyaMasasipiakwakusanyikohilitutusaidiakwakiasikikubwakwahalinamaliilikufanikishamalengoyetu.
NduguMgenirasmi
Tayaritumefanikiwakatika
mambo mbalimbalikama vile tumefanikiwakupatamitiyamaua 750
kutokandandaingawamalengonikupatamiti 1500,
tumefanikiwakuanzakubadilishamuonekanowabaadhiyamaeneokama vile
maeneoyamadarasaninakanisani ,tumefanikiwakupatamitiyambao 300
kutokakwarafikizetuWakalawaMisitunaMaliasilinatumefanikiwakuandaamashambayenyeukubwawahekta
4 ilikuanzamaandaliziyakupandamitimsimuwa 2014/2015.
Kipekeetupendekuwashukurumarafikizetuwaliokouingerezahasa The Friends of
MasasiNewala, Mama JennipherOaklayspamojanaAnna Visckutoka Cyprus kwamsaadawaoambaoulisaidiakupatamitiyamauakutokaNdanda.
Ndugumgenirasmi,
Pamojanamafanikiohaya,Mgenirasmimradihuuunakumbwanachangamotombalimbalikama
vile:
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
NduguMgenirasmi,
Ni
imaniyetukuwasikuhiiyamazingirayaTaasisiyetuya Rondo
inasaidiawatuwotekuachaalamazaohapakwetunasisitunaaminikwambamchangowakowowoteutakaoufanyaleoutakuwaumejiunganamtandaohuumkubwawawanaharakatiwautunzajiwamazingira,
Ni jukumu la
kilammojawetukuwajibikamahalialipoilikupunguzaatharizinazotokeakutokananakuharibumazingira.
Inaaminikamazingiranisilahahatarikulikosilahayoyoteulimwenguni (Rev.Fr.Linus
John Buriani) kutokananautafitimdogonilioufanyanimegunduakuwaendapomazingirayakikasirikakutokananauharibifuwakazizabinadamuyanawezakuangamizaduniandaniyamasaamachache,
hebutukumbukesunami,ukame,
mafurikoyanayoendeleahukoUingerezapamojanaUpepoulioharibumakaziyawatuhukoKiwalalanaNyengedinidhairikuwakamahatutawezasema
“Niachealama Rondo kwakutoamsaadawahalinamaliilikuwezakutunzamazingiratunawezajikutatunaingiakwenyehatariyakukumbwanahasirazamazingira.
Nawashukuruwote
Asante
……………………………………………
REV.FR.LINUS
JOHN BURIANI
IDARA
YA MIRADI, KILIMO NA MAZINGIRA
RONDO
JUNIOR SEMINARY
MCHANGANUO
WA BAJETI YA TSH 14,400,000
MAELEZO
|
KIASI
|
BEI@
|
JUMLA
|
|
1.
Cement
|
Mifuko
100
|
18000
|
1,800,000
|
00
|
2.
Mawe
|
Trip
20
|
60000
|
1,200,000
|
00
|
3.
Kifusi
|
Trip
50
|
30000
|
1,500,000
|
00
|
4.
Gharamazakitalu
|
1
|
|
2,000,000
|
00
|
5.
Kisima
|
1
|
|
7,900,000
|
00
|
JUMLA
KUU
|
|
|
14,400,000
|
00
|
SALAMU
ZA MAKAMU ASKOFU KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA TAREHE 01/03/2014
NduguMgeniRasmi,DR.
Hamid Nassor
KamandanaMkuuwa
TAKUKURU MkoawaLindi,
NduguMkurugenziMtendajiHalmashauriyaWilayayaLindi,
NduguWadauwaTaasisizaKifedhaMkoawaLindi,
NduguWakuuwaIdarazaHalmashauriLindi,
ViongoziwaIdarambalimbalizilizopo
Kata yaMnaranaTarafaya Rondo,
MkuuwaSeminari,
jamiiyoteya Chuo naSeminari Rondo,
NduguzanguWanahabari,
NduguWageniwoteWaalikwa,
MabibinaMabwana.
NipendekumshukurumungukwakutufikishasalamanakufanikishamaandaliiyoteyasikuhiimuhimusanakwaDayosisiyaMasasi.
NikushukuruMgeniRasminaujumbewakowotekwakuahakainyingi a serikalinafamilianakujakushirikipamojanasi.
Niwashukuruwageniwotewaalikwananyikwauwepowenuhapainadhihirishaniayenusafiyakutuungamkono.
NduguMgeniRasmi,
Kanisalinashirikiananaserikali,taasisizisizozakiserikalikatikakuendelezaharakatimbalimbalizamaendeleoyanchiyetu.
Kipekeenipendekutajabaadhiyamashirikanamiraditunayoifanyailikujenganakuletanguvuyapamojakatikamaendeleoyetu.
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
![*](file:///C:\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif)
NduguMgeniRasmi,
Hizinijitihadazakanisakatikakuletamaendeleoyanchiyetunahivyokuisaidiaserikalinamashirikamengineyasiyoyakiserikalikujenganguvuyapamojakatikaushirikianowataasisizaserikalinazisizozakiserikali.Witowetukwawadauwotewamaendeleonikuendeleakushirikiananajitihadakamahizitunazozifanyaleokwamaslaiyanchiyetu.
Mambo yamazingirayanaungwasanamkononaRaiswetu, Dr.
MrishoJakayaKikwetetuendeleekumuungamkonokwakilatasisikupangajambokamatufanyaloleo.
OfisikuuyaDayosisiyetupamojanaWakristowotewaKanisaAnglikanaDayosisiyaMasasiwanayofurahakuwapongezawatendajiwotewa
Chuo naSeminarikwamawazohayachanyamuliyoanzisha,
SisitutaendeleakuwatiamoyanakuwaungaMkonokwanamnayoyoteileilikufanikishamalengoyotemuliyoyawekanaimaniyetukuwamaazimishoya
01/March/2015 yatatuelezamafanikiomengiyamalengomulijiwekea.
NduguMgeniRasmi, Mimi
simsemajileonipendekuendeleakuwashukuruwotekwaujumlawenukwakuitikiawitohuu,
Kumbukakilamtuasiondokehapabilakuachaalamakwakujitoakwahalina Mali
ilikufanikishamalengoyetu. Ni imaniyangukwambamtiwakumbukumbuutakaopandaleo,
nazawadiyakoyaChakula Cha asantemazingirayoteitaashiriaalamayakokwetu.
NipendekumwombaMunguawatienguvunaKufikishasalamakilammojanaalikotoka.
Ndimi
MakamuAskofu
DayosisiyaMasasi.
HOTUBA YA MGENI RASMI, MKUU WA WILAYA YA
LINDI
DR. HAMIDNASSORO, KWENYE KILELE CHA
MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA RONDO SEMINARI TAREHE 01MACHI 2014
Baba MakamuwaAskofu - Fr. Carlos Marcus,
pamojanaViongoziwotewaOfisikuuyaDayosisiMasasi,
KamandanaMkuuwa TAKUKURU MkoawaLindi,
NduguMkurugenziMtendajiHalmashauriyaWilayayaLindi,
NduguWadauwaTaasisizaKifedhaMkoawaLindi,
NduguWakuuwaIdarazaHalmashauriLindi,
ViongoziwaIdarambalimbalizilizopo
Kata yaMnaranaTarafaya Rondo,
MkuuwaSeminari, jamiiyoteya
Chuo naSeminari Rondo,
NduguzanguWanahabari,
NduguWageniwoteWaalikwa,
MabibinaMabwana.
NianzekwakuishukuruKamatiya Maandalizi yaSherehehii
kwa kunialikamimikuwaMgeniRasmisikuhiiyaleo.
Hiiniheshimakubwakwangunikiwakamammojawawadau,nahakikamsimamizimkubwakatikaWilayayaLindihatakatikasualazima
la mazingira naulinzi wake.Kwa dhatikabisaniwapongezesananinyiwanajumuiyawa Chuo naSeminariya Rondo
kwa kubunimradiwa kuhifadhi nakuboresha mazingira nausafiwamaeneoyanayowazungukahapa.
Hiinidalilinjema kwa vizazivijavyokwanimnapoamua kuhifadhi mazingira yenusasa,
watotonawajukuuzetuwabaadaewatanufaikakupitiambinuhii.
Napendakuwapongezawadauwoteambaommeshirikikwenyemaadhimisho
hayaleokwaniniisharatoshakwambamnathaminijuhudizilizoanzakuonyeshwahapa Rondo
Seminary.
HayanimafanikioambayonimfanowakuigwanaTaasisizotekatikaWilayahiiyaLindi,
pianihatuainayostahilikuungwamkononawadauwotewapendamaendeleondaninanjeyanchiili kukabiliana
naMabadilikoyaTabianchi.Sotekwapamojanapendakusisitizakuendeleakuchukuahatuazadhati, kwa kutumianyadhifazetu, kuzuiauharibifuwa mazingira
nakuboreshapalipoharibika.
Pamojanamafanikionahatuakubwatuliyopigakatikakutekeleza
Sera naSheriayaUsimamiziwa Mazingira Na.20 yamwaka 2004,
badotunakabiliwanachangamotonyingiilikufikiamalengomakuuya program zetuzaHifadhiya
Mazingira. Changamotozinazotukabilini:-
·
UchomajimotoovyounaoendeleakufanyikakatikaWilayayetuhasanyakatizakiangazi.
·
UkatajiholelawamitikatikaMisituyaHifadhi
kwa ajiliyauchomajiMkaanaupasuajiharamuwaMbao.
·
Kukaukakwavyanzovyamajikutokananauchomajimisitu,
ukatajiholelawamitinaKilimokandokandoyamitonavyanzovyamaji.
·
KuvamiwaMisituyaHifadhinaMaporiyaAkiba
kwa ajiliyaKilimokisichoendelevu.
·
UfinyuwaBajeti
kwa ajiliyashughulizaUendelezajinausimamiziwaRasilimalizamisitunaHifadhiya
mazingira.
·
Kufanyikakwauvuviusioendelevuwakutumiazanaharamukamamabomu,
sumu, makokoronanyavuzenye macho madogochiniyaInchi 5.
·
Urinajiasaliusioendelevuhasa
kwa kutumiamoto.
·
Utupajiovyowa
taka ngumukatikamaeneoyamiji, vitongojinavijijivyetu.
Kutokanana changamotohizonilizozitaja,kuanziasasaniwaagizeMaafisamnaohusikanakusimamiaSera
naSheriazanchikuhusu mazingira, kutumiakikamilifunakuwachukuliahatuawotewanaokwendakinyumenauhifadhiwa
mazingira katikawilayayetu.Sotetunafahamu Tanzania
nimiongonimwanchizinazotekelezashughulizakupunguzahewamkaakupitiaudhibitiwaukatajimitinauharibifuwamisitukatikakipindi
cha majaribio. Utekelezajiwa shughuli hiziunalenga:
kuungamkonokuchukuahatuazinazostahilikurekebishahalihiyo kwa kutumiasheriaza
halmashauri au sheriaya mazingira.
Mwaka 2001, serikaliiliongezajuhudizaidi kwa
kuanzishaTuzoyaRaisyaUongozinaUborawaHifadhiya Mazingira. Lengo la Tuzohiini
kutambua juhudizakampuni au mtubinafsi aliyefanya
vizurizaidikatikauboreshajiwahifadhiya mazingira, na mafanikio yakekatika
uendeshaji endelevuwashughuliza kuhifadhi Mazingira. Aidha, Tuzoinalengo la
kuhamasisha makampuni, Taasisinawatubinafsi kutambua nakuonaumuhimuwa
kuendeleza mazingira yetupia kukabiliana naatharizamabadilikoyaTabianchi zinazoweza
kutukabili tusipochukua tahadharikama vile:-
• Kubadilika nakutotabirika kwa
misimuyamvua.
• Kushuka au
kupunguakwamavunokatikamashamba.
• Kuongezeka kwa
majangayamafuriko/ukame
• Kupungua kwa
thelujikatikavilelevyamilima (mfanomlima Kilimanjaro) kwakasikubwa.
• Kushuka au kupungua kwa kina cha
majikatikamitonamaziwa.
• Kueneakwa maradhi ya Malaria
hatakwenyemaeneoyenyebaridiyahaliyajuukama vile eneohili la Rondo.
Niongeze kwa kurejea maandikoyaB i
bl i ainayotuelezakwamba "Mungualiumbambingunanchina alipoziangalia
akaonazinavutia. Aliumbamitonabaharinaakaonazilikuwamuruakabisa”.
Aliendeleanahatimayeakamuumba mwanadamu. Litafakarinihilo.
Mungu hakumuumba binadamu kwanza. Alimuumba wamwishona kumwamrisha alindevyoteambavyoalikuwa ameviumba, kwa hivyo mwanadamu kuharibu kileMungu alichoumba pasipo kusema kilikuwakizuri, nakuhakikishia hautaingiambinguni.
Mungu hakumuumba binadamu kwanza. Alimuumba wamwishona kumwamrisha alindevyoteambavyoalikuwa ameviumba, kwa hivyo mwanadamu kuharibu kileMungu alichoumba pasipo kusema kilikuwakizuri, nakuhakikishia hautaingiambinguni.
MWISHO, ninaishukuru kamati ya Maandalizi nanyote mliofika hapa
katika maadhimisho haya. Nasema: USAFI WA MAZINGIRA NA
KUTUNZA MAZINGIRA NI JUKUMU LA KILA MMOJA WETU, TUKISHIRIKIANA PIA KAMA WADAU
KATIKA MAZINGIRA.
Asanteni sana kwa
kunisikiliza.
No comments:
Post a Comment