Waziri
wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti
za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti
wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba wakati wa ziara yake ya kutembelea na
kuzungumza na Watendaji wa Tume hiyo aliyoifanya mwishoni mwa wiki Jijini Dar es
Saalam.

No comments:
Post a Comment