EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, October 14, 2013

SHAMSI VUHAI NAHODHA AWAKOMALIA SERIKALI



                                       
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Shamsi Vuai Nahodha ameelezea kushangazwa kwake, na hai ya kutochukuliwa hatua, kwa watu waliohusika na ufisadi wa Shilingi bilioni 60, wakati wa utawala wa Rais Amani Abeid Karume.
 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Shamsi Vuai Nahodha

Akihutubia mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Polisi Ziwani mjini Unguja, Nahodha amesema kuwa ufisadi huo ulibainika baada ya uchunguzi wa Kamati Teule ya Baraza la Wawakilishi.Nahodha ametoa tuhuma hizo licha ya ukweli kuwa kipindi cha utawala wa Karume, alikuwa Waziri Kiongozi kwa miaka 10.Amesema kuwa fedha hizo zingeweza kusaidia kuimarisha huduma za jamii kama afya, elimu na upatikanaji wa maji safi na salama, lakini kinyume chake wanaharakati na wanasiasa wanashindwa kukemea ufisadi unaochangia kuikwamisha Zanzibar isipige hatua za kimaendeleo.

No comments:

Post a Comment