EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, April 10, 2014

ENGLAND: MECHI ZOTE ZA WIKIENDI KUANZA DAKIKA 7 BAADAE!

HILLSBOROUGH_TRAGEDYKWA HESHIMA NA KUMBUKUMBU ya Mashabiki waliopoteza maisha yao Uwanja wa Hillsborough Aprili 15 Mwaka 1989 wakati wa Mechi ya Nusu Fainali ya FA CUP kati ya Liverpool na Nottingham Forest, Mechi zote za Wikiendi hii huko England zitaanza Dakika 7 baadae, yaani zile za Saa 11 Jioni Bongo Taimu, zitaanza Saa 11 Dakika 7.
Hii ni Kumbukumbu kwa vile Mechi hiyo ya Nusu Fainali ya FA CUP kati ya Liverpool na Nottingham Forest ilivunjwa Dakika 6 tu baada ya kuanza baada ya kutokea Maafa hayo Uwanjani hapo ambapo Mashabiki 96 kufa na 766 kujeruhiwa.
RATIBA ZA WIKIENDI ENGLAND
[ZOTE KUANZA DAKIKA 7 BAADAE]
FA CUP
Nusu Fainali
Mechi zote kuchezwa Wembley Stadium
[Saa za Bongo]
Jumamosi Aprili 12
1707 Wigan v Arsenal
Jumapili Aprili 13
1807 Hull City v Sheffield United
+++++++++++++++++++++++++++++
LIGI KUU ENGLAND:
[Saa za Bongo]
Jumamosi 12 Aprili 2014
1707 Crystal Palace v Aston Villa
1707 Fulham v Norwich
1707 Southampton v Cardiff
1707 Stoke v Newcastle
1707 Sunderland v Everton
1707 West Brom v Tottenham
Jumapili 13 Aprili 2014
1537 Liverpool v Man City
1807 Swansea v Chelse

No comments:

Post a Comment