MIHADHARA YA SHEIKH PONDA YAPIGWA MARUFUKU KATIKA ARDHI YA ZANZIBAR

Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar imempiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya Kiislamu
shekhe Issa Ponda Issa kuendesha mihadhara ya kidini katika ardhi
ya Zanzibar yenye muelekeo wa kuleta mifarakano, chuki na uhasama.Makamo
wa pili wa rais balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akiahirisha
kikao cha Baraza la Wawakilishi cha bajeti kwa mwaka wa fedha 2013-2014.Balozi
Seif alisema mahubiri ya sura ya uchochezi kamwe hayawezi kuvumiliwa
yakiwa na lengo la kuiingiza nchi katika machafuko ya kidini ambayo
madhara yake ni makubwa.Aidha balozi Seif alisema Serikali kamwe
isilaumiwe kwa hatua itakazochukuwa...
"SIJAWAHI ONA MWANAUME MZURI KAMA PREZZO HAPA DUNIANI "...DIVA WA CLOUDS FM

Kwa
mara nyingine tena, mtangazaji wa Clouds fm maarufu wa jina la
DIVA amejitosa Istagram na kuanza kuisifia suruali yake ( Prezzo)
huku akiwaponda wanaume wa kibongo na wale wote wanaomchukia
Prezzo....
Huu ni ujumbe wake.
“The way my heart beats for u Mentiond of your name, One touch never
enough you driving me Insane, swing me take you back, who am i to blame
but myself, need you back in my life simple and plain, Crazy nights
arguments running towards the door, lying to...
No comments:
Post a Comment