EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 8, 2013

RAY C AELEZA KILICHOMFANYA ATUMIE MADAWA YA KULEVYA LAWAMA ZOTE ZAMFIKIA.......................


   Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya. Akiwa na muonekano mpya, mchangamfu, aliyenawili, mrembo na mwenye afya njema, Ray C alizungumza kwa undani kwenye The Interview ya Clouds TV kuanzia namna alivyoingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, jinsi yalivyomwathiri na namna alivyosaidiwa hadi leo amekuwa hivyo. Ray C alisema aliingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kutokana na kushawishiwa na aliyekuwa mpenzi wake. “I...

MCHUMBA WA MTU ATUPWA SEGEREA BAADA YA KUNASWA AKIJUZA JIJINI DAR

Siku za  mwizi  ni 40....  Kauli hiyo ya wahenga ilitimia Jumatatu iliyopita kufuatia msichana Pili Baraka (21) aliyevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake hivi karibuni  kujikuta akitupwa Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kunaswa kwa tuhuma za ukahaba, Mrembo huyo alifikishwa kwenye Mahakama ya Sokoine Drive (Jiji) na kusomewa shitaka na mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo, Richard Magodi mbele ya Hakimu Timothy Lyon. Akisoma shitaka hilo, Magodi alisema: Agosti 5, mwaka huu, saa nane usiku, Pili alinaswa kwenye maeneo ya Manzese jijini Dar akifanya biashara ya ukahaba. Aliposomewa shitaka lake hilo,...

No comments:

Post a Comment