EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, August 13, 2014

Picha ya msichana TRUSKEY alipigwa kibao na MALIA OBAMA!!!

msichana TRUSKEY kushoto na huyu wa kulia ni MARIA OBAMA
Ni tukio la aina yake baada ya msichana huyu kupigwa kibao na mtoto wa rais wa marekani na kulifurai..
Amejipatia umaarufu mkubwa duniani mara baada ya kauli iliyowashangaza wengi kwenye account yake ya twitter
TRUSKEY kaandika;I got(accidentally) kicked by malia obama today at lollapolooze.It was awesome****lollapolooze.
Ni kweli msichana huyu ana sababu ya kufurahia kwa kupigwa na mtoto wa rais?
KAMA ni umaarufu na wewe uko teyari kupigwa NGUMI na mtoto wa raisi?

No comments:

Post a Comment