EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, August 9, 2014

OFFICIAL NOW:......OKUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA MWANADADA STEP FOWARD

LEO kupitia HOT FIVE ya vipaji vya kusini ya 87.8 PRIDE FM kunatarajiwa kuachiwa wimbo mpya ambao watu wengi wanautabilia kufanya vizuri zaidi katika soko la muziki wa kusini na Tanzania kama ukipewa nafasi na hadhira wimbo huu umeimbwa katika mahadhwi ya zuku rumba  ambao hata kabla ya kuachiwa kwake watu ambao tayari waliusikia wametokea kuutabiria kuwa ni moja kati ya nyimbo kali zilizotoka mwaka huu. akizungumza na mtandao huu mapema leo asubuhi kabla ya kuachia wimbo huo STEP FOWARD alieleza hisia zake kwa hatua aliyofikia huku akitoa shukrani kwa wote waliomfanikishia kazi yake.
KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK STEP FOWARD ALIANDIKA YAFUATAYO..........
"Naitwa Devota Peter Masonda. (Step Foward)Nawashukuru wote walioniwezesha kuufikisha wimbo wangu unaojulikana kwa jina la Pendo langu, hasa Mr. Sigfrid Chinyama kwa na wana Familia wote.
Naomba Muupokee wimbo wangu kwa mikono miwili na kwa sasa tayari uko mtandaoni waweza ukadownload kupitia www.kassimngumbi.blogspot.com au www.hulkshare.com/swacotzforum

USIKILIZE HAPA.................................

No comments:

Post a Comment