EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, February 6, 2014

SIMBA NA YANGA ZAISAIDIA NDANDA YA MTWARA VIGOGO WAWILI KUTUA MTWARA KUKIPIGA KATIKA MECHI YA HISANI YA SAIDIA NDANDA ISHINDE.




kikosi cha ndanda
NA: KASSIM NGUMBI
Uongozi Wa Kamati Ya Saidia Ndanda Ishinde Inayoongozwa Na Mkuu Wa Wilaya Ya Mtwara MH: Wilmani Kapenjama Ndile Kama Mwenyekiti Akishirikiana Na Maofisa Wa Michezo Wa Wilaya Za Mtwara Pamoja Na Wadau Mbalimbali Wa Soka Wakiwemo Waandishi Wa Habari Jana Wamekutana Na Viongozi Wa Timun Za Washabiki Wa Klabu Za Samba Na Yanga Mkoani Mtwara Katika Bar Ya Ever Green Kujadili Juu Ya Mechi Itakayofanyika Siku Ya Jumapili Ya Tarehe 09 Feluary 2014 Katika Mfululizo Wa Mechi Za Hisani Za Kuichangia Timu Ya Ndanda Inayoshiriki Ligi Daraja La Kwanza Iweze Kufanikiwa Kuingia Ligi Kuuu Katika Kikao Hicho Viongozi Hao Wa Ngazi Za Wilaya Ambao Wameonekanba Kuwa Na Umoja Kuiwezesha Ndanda Wamepanga Kufanya Mechi Hiyo Ambayo Itakuwa Ni Ya Pili Mara Baada Ya Mechi Ya Kwanza Kufanyika Siku Ya Jumapili Iliyopita Kwa 


Kushirikisha Tim Kongwe Mkoani Mtwara Za Kongo Na Mitumba Na Kuingiza Kiasi Kikubwa Cha Fedha Million Mbili Kasoro Lakini Bado Fedha Hiyo Imekuwa Haitoshi Kutokana Na Mahitaji Ya Timu Kwa Sasa Kuwa Ni Shilingi Mill 57 Za Kitanzania Katika Kiao Cha Jana Mambo Mengi Yalizungumzwa Ikiwemo Kuandaa Ushawishi Kwa Wanamtwara Kupitia Vyombo Vya Habari Ili Waweze Kujitokeza Kwa Wingi Katika Mechi Hiyo Ambapo Kiiinbgilio Chake Itakua Ni Shilingi Elfu Moja Tu Kkw Upande Wao Viongozi Wa Timu Hizo Za Washabiki Wa Klabu Za Samba N Ayanga Walizungumzia Mchezo Wao Wa Jumapili Ambapo Kiongozi Wa Klabu Ya Washabiki Wa Simba  Katibu Mwenezi Wa Tawi La Samba Mtwara Chingulumana Alisema Wao Kama Samba Wamejipanga Vya Kutosha Na Tiumu Inaendelea Na Mazoezi Katika Uwanja Wa Mikindani Nje Kidogo Ya Mji Wa Mtwara Huku Akisema Kuwa Ataipeleka Tim Kesho Mjini Palma Msumbiji Kucheza Mechi Ya Awali Na Washabiki Wa Samba Walioko Msumbiji Ikiwa Ni Sehem Ya Maandalizi Ya Ti M Hiyo Lakini Pia Ameeleza Kuwa Kwa Mujibu Wa Kiongozi Mwandamizi Wa Klabu Ya Samba Toka Makao Makuu Amewaahidi Kuwapatia Wachezaji Wawili Wakongwe Toka Dare S Salaam Ambao Waliwahi Kuichezea Klabu Ya Samba Hapo Awali Waje Kutoa Support Kutikana Na Umuhim Wa Mchezo Huo Unaolenga Kuinua Michezo Moani Mtwara Hasa Kuiinua Tim Ya Ndanda

Kwa Upande Wake Kiongozi Wa Yanga Ismail Mikwanga Ambaye Ni Katibu Wa Tawi La Yanga Mtwara Amesema Kuwa Wao Kama Yanga Wamejisikia Fahari Kuona Wanaingiza Mchango Wao Katika Kuisaidia Ndanda Kwani Ninmoja Ya Ushirikiano Mzuri Lakini Ni Hatua Ya Kimaendeleo Kwa Ngazi Ya Mkoa Na Wao Wanaanza Mazoezi Ya Mechi Hiyo Katika Viwanja Vya Shule Ya Msingi Ligula Maeneo Ya Ligula B Na Wamewataka Wanamtwara Na Sehem Jirani Kujitokeza Kwa Wingi Ku8ja Kushuhudia Mechi Hiyo Ikiwa Ni Sehem Ya Mchango Wao Kwa Ndanda. Mkoa Wa Mtwara Sasa Umekuja Juu Katika Suala La Kuhaklikisha Wanaipandisha Tim Ya Ndanda Daraja Icheze Ligi Kuu Na Sasa Watu Wote Imani Yao Iko Kwa Tim Hiyo Ambayo Ndiyo Muwakilishi Pekee Wa Mkoa Wa Mtwara Katika Ligi Daraja La Kwanza Hivyo Tumaini Pekee Limebaki Huko Kwa Ndanda. 
SIKILIZA ZAIDI MAHOJIANO NA VIONGOZI WA SIMBA NA YANGA.................

No comments:

Post a Comment