NA MSHAMU NGOJWIKE
MGOMBEA ujmbe wa TFF kupitia
Kanda ya Dar es Salaam, Shaffih Dauda
amelipa faini ya milioni moja ambayo alipewa adhabu na kamati ya Rufaa ya
maadili Tff.
![]() |
shfii dauda |
Dauda alipewa adhabu hiyo
mara baada ya kukutwa na kosa la kusambaza barua ya Tff toka FIFA kwenye
mtanadao wake amabazo tff hawakutaka nyaraka hizo zisambazwe kwenye vyombo vya
habari na kutakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja ndani ya siku tatu na
ageshindwa kulipa basi angefungiwa kwa mwaka mmoja kutojihusisha na mpira.
Alisema
anashukuru kwa kulipa faini hiyo na kuwashukuru wadau mbali mbali waliomchangia
na kufanikisha kulipa deni hilo.
![]() |
SHAFII DAUDA KUSHOTO |
Kwa sasa Dauda atakuwa
miongoni mwa wagombea wa uchaguzi wa TFF ambao unatarajia kutafanyika Oktoba 27
mwaka huu.
No comments:
Post a Comment