Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II
ameamuru kufungwa kwa ukumbi uliopo ndani ya eneo la kanisa hilo
lililopo Kiwanja Namba 7509 katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini
Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa picha za utupu za wanawake ukutani..
Papa huyo alifikia uamuzi huo Februari 19, mwaka huu baada ya kutua nchini ambapo alifanya mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete.
Mbali na mazungumzo na JK, alipata nafasi ya kutembelea ukumbi huo ulio
kwenye eneo la kanisa hilo ndipo ‘alikutana’ na picha za wanawake wa
Kiafrika na Kizungu zikiwa zimetundikwa ukutani wakiwa kama
walivyozaliwa.
Mbali na picha...
"SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NA KU******M YOYOTE....CLOUDS ACHENI KUNIFUATILIA". HILI NI TUSI LA MWISHO MWAMPAMBA
Mwisho Mwampamba amegeuka mbogo na kufurumua matusi ya nguoni
kwa Clous Fm baada ya kituo hicho kuanza kumjadili na
kumchambua...
Mwampamba, ambaye ni staa namba mbili wa shindano la big
brother mwaka 2003 anadai kutoridhishwa na kitendo cha Cloud fm
kuanza kumjadili...
Staa huyo amedai kwamba yeye anamaisha yake na hivyo haoni
haya ya kuanza kufuatiliwa ...
BODI YA MIKOPO YAKANUSHA UVUMI KUWA WALIOOMBA MKOPO WA ELIMU WANAPASWA KUJIANDIKISHA UPYA
Kumekuwa
na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na
hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa tayari
wameshahakiki taarifa zao wanapaswa kurejea kujaza upya ama kuhakiki
iwapo taarifa zao zipo mtandaoni.Bodi inatumia fursa hii
kuwajulisha Wanafunzi husika, Vyuo vya Elimu ya Juu na Umma kwa ujumla
kuwa taarifa za Wanafunzi hao zilizopokelewa ziko salama na hawapaswi
kujaza tena na hivyo taarifa hizo za uvumi zipuuzwe.Aidha Bodi inasisitiza kwamba kesho tarehe 31 Julai, 2013 ni
mwisho wa
kupokea maombi ya mikopo ya waombaji wote...
No comments:
Post a Comment