EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, July 3, 2013

BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO YA UCHAGUZI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ROYAL

Hivi ndivyo hali ilivyo sasa maeneo ya Royal college of Tanzania watu bado wanaendelea na zoezi la upigaji kura mara baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya tume ya uchaguzi na uongozi wa cuo uchaguzi huu unahusisha wagombea wane ambapo katika nafasi ya urais ni GEOFREY MTENZI na SHANGWE MZINGA wakati makamo wa Rais ni JUMA MSIRI na DANIEL KILEO
 WAPIGA KURA WAKIWA KATIKA FORENI KUELEKEA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA




BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WAMEKAA PEMBEZONI MWA CHUO WAKISUBIRI KUPIGA KURA



WAGOMBEA MBELE JUMA MSIRI NA NYUMA DANIEL KILEO WAKIINGIA KATIKA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA KUFUNGUA ZOEZI HILO

GEOFREY MTENZI MGOMBEA WA URAIS AKIHAKIKI JINA KWA MJUMBE WA TUME TAYARI KWA KUPIGA KURA


MASHUHUDA WA ZOEZI LA KULA -WASIMAMIZI


MOJA KATI YA WANAFUNZI AKIPIGA KURA

WAJUMBE WA TUME YA UCHAGUZI WAKIWA NDANI YA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA

MASANDUKU YA KURA

No comments:

Post a Comment