EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, July 4, 2013

MATOKEO UCHAGUZI ROYAL HADHARANI


Uchaguzi wa Urais na Makamu wake katika chuo cha uandishi wa habari Royal ulimalizika majira ya saa kumi n a moja jioni mara baada ya shughuli ya kupigwa na kuhesabu kura iliyochukua takribani masaa matano ambapo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi chuoni hapo Bw:John Luhende alitangaza matokeo ya uchaguzi huo na kuwataja washindi kama ifuatavyo

Jumla ya wapiga kura walioshiriki zoezi hilo walikuwa 215 na katika matokeo hayo hakuna hata kura moja iliyoharibika hivyo basi matokeo halisi kwa upande wa wagombea wa umakamu wa urais ni kwamba mgombea namba moja JUMA MSIRI amepata kura 61 sawasawa na asilimia 28.3 na mgombea namba mbili DANIEL KILEWO amepata kura 154 sawasawa na asilimia 71.6 ya kura zote hivyo mshindi ni DANIEL KILEWO ndiye atakayekuwa makamu wa Rais wa Royal kwa mwaka 2013-2014
Kwa upande wa wagombea wa Urais mgombea namba moja SHANGWE MZINGA amepata kura 101 sawasawa na asilimia 46.6 ya kura zote 215 zilizopigwa  na mgombea namba mbili GEOFREY MTENZI amepata kura  114 sawasawa nas asilimia 53.0 ya kura zote zilizopigwa hivyo basi kwa matokeo hayo Bw: Geofrey Mtenzi ametangazwa kuwa Rais wa Royal mwaka 2013-2014.


Washindi wanatarajiwa kuapishwa siku ya ijumaa ya tarehe 05/07/2013 huku mwenyekiti huyo akiwataka watu kuwa na hali ya utulivu na kuyakubali matokeo hayo iwapo mtu hatoridhika atatkiwa kukata rufaa ya kupinga matokeo ndani ya wiki mbili yaani siku kumi na nne toka kutangazwa kwa matokeo.
eneo la kutangazia matokeo likiwa limeandaliwa

wanaroyal wakisubiri matokeo ya uchaguzi







wajumbe wa tume ya uchaguzi wakitoka katika chumba cha kuhesabia kura tayari kwenda kutangaza matokeo






masanduku yaliyohifadhiwa kura


mwnyekiti wa tume katikati na katibu wake kushoto kulia ni mshauri wa tume

wahesabuji kura wakisubiri kutangaza matokeo kushoto ni Rashidi Usi

Mshauri wa tume akizungumza kitu na wanaroyal kabla ya kutangazwa kwa matokeo


Mwanasheria wa tume ya uchaguzi akitoa shukrani


mwenyekiti wa tume akitoa matokeo








mshindi wa nafasi ya umakamu wa urais Daniel Kilewo





mshindi wa nafasi ya urais akielekea kupongezwa


Geofrey Mtenz Rais mpya Royal

washindi wakipongezana













PICHA ZA MATUKIO YA HARUSI YA KELVINI NA JAVINATA ILIYOFANYIKA JUMAMOSI YA TAREHE 30/06/2013 KATAKA UKUMBI WA STANLION GARDEN MIKOCHENI
JAVINATA NA MUMEWE KELVIN WAKINYWESHANA SHAMPEIGN
























No comments:

Post a Comment