![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimADnZlnLXUg1B_Ot5kfJxvyyPoz5xD4zK3R622RZGNj8Cw0EwVUIM_t8r2D09djQMZ3WyXuvOkJOSvo2XK84m6EBzsYHS_lyBXC3Z5rQJWXdxzQfozHJJnFLZWrWOsZPpXjVafzOKuz0/s1600/IMG_20140301_161806.jpg) |
FIVE ALIANCE IKIWA IMEHARIBIWA NA WANANCHI ENEO LA TUKIO |
NA KASSIM NGUMBI........Mtwara
Mnamo majira ya saa tisa alasiri leo kumetokea ajari mbaya sana ambayo imesababisha kifo cha mtoto mmoja ambaye kwa taarifa za harakaharaka zilizotufikia mtoto huyo alishindwa kutambulika,ajari hii imetokea katika kijiji cha hingawari mkoani lindi ambapo ni kilometa chache tu kuingia mkoa wa mtwara na kwa mujibu wa mtoa taarifa ambaye hakutaja jina lake ambaye pia alikuwa ni nmoja wa wasafiri wa gari hiyo akitoka dar es salaam kuja mtwara chuoni kimasomo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRkCNulH_ptG3yHn7VaSOGK3sLyRDoGMhg23DJgJKqP76d8z1AvMZy0K5lKNy8SfRqKZfImFTxbiTXN4C3Ybp40pytg9G4oGC_pQ9DclIVzlsffc3hs-kup2i-Yh5TkCOn-kPdUTwJlgo/s1600/IMG_20140301_161820.jpg) |
WANANCHI WALIOKUJA BAADA YA VURUGU WAKIIANGALIA GARI |
alieleza nkuwa wakiwa katika safari na kuingia kijijini hapo ghafla ilitokea gari aina ya Toyota HICE na kutaka kuwaover take ama kuwapita kwa kiswahili fasaha na ndipo mbele alipotokea mtomto anayefananishwa kuwa na umri kati ya miaka 10-13 akitaka kukatiza barabarani lakini ghafla kuona gari ziko karibu akawa ametaharuki na kuhangahika barabarani ndipo gari hiyo ya kwanza HICE ilimgkosa na kujiktuta akigongwa na FIVE ALIANCE ambayo wao
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhd-d3tcJG7cgyl_0VAaO1Qnz5B0dEUS3hLScoidwQbjp25koV3JZjDpzhqzhfNC2Tm3CYNvpjVYZUSHmapBjaJNY4jumGNpjHhCVsnkp2BLfqQqUQoxtimXr96nYaYbHpoMbB79Xz46cU/s1600/IMG_20140301_161856.jpg) |
VIOO VYA MADIRISHA PIA VIMEVUNJWA |
walikuwa ndani yake kutokana na purukushani za dereva kutaka kuepusha ajari hiyo gari hiyo iliiingia pembeni mwa barabara na kukwama ndipo kabla abiria hawajatoka ghafla kundi la wananchi lilivamia gari hiyo likiwa na siraha za jadi na wengine wakiwa wamebeba mawe na kuanza kulishambulia huku wengine
No comments:
Post a Comment