NA KASSIM NGUMBI....Mtwara
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcHF82H41I-4iFLVS9-Ktc74KOz8YQ7cOXb9zCyOkCWoa02ok9KkHdoMGpA3EKvCAyw294QwSJROhoPp8uze2eTCNtkBsFA1jdNfKf5np1J1vINisQDKL0NTipTh7RXM_JaKZ0vEgYzzA/s1600/IMG_20140228_121247.jpg) |
GARI ILIYOGONGA |
leo mchana kumetokea ajari mbaya sana mtwara mjini katika round about ya bima inayoongoza magari yatokayo sehem mbalimbali na kuingia katikati ya mji ajari hii imehusisha gari aina ya Lnd Cruser Toyota FWD lenye namba za usajiri STK1482 mali ya serikali kupitia ofisi ya manispaa ya mtwara.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHCutIkRGhVCWIC1dHC9xbArvbZsmcAfgS2wS3EhAZGhRx8p7CkeL8s9e8UgwXwZ0HB3b_rHEi5DKVs73LgcSXLw-W4r5VRzrLLhHfSkc8ceTdodtSPJqzoOnHNzex6ZxNKgaxByR6qGg/s1600/IMG_20140228_121224.jpg) |
NAMBA ZA GARI HUSIKA |
na dereva pikipiki ambaye aligongwa na kuumia vibaya sana na haraka akakimbizwa katika hospitali ya rufaa ya ligula huku hali yake ikiwa ni mbaya sana ila kwa taarifa zilizopatikana jioni hii zinadai kuwa mgonjwa huyo sasa amehamishwa kupelekwa hospitali ya Nyangao mkoani lindi kwa matibabu zaidi....
BADO TUNASUBIRI TAARIFA ZA KIPILISI TUTAENDELEA KUKUJUZA
HIZI CHINI NI PICHA ZA MUONEKANO WA ENEO LA TUKIO...............
No comments:
Post a Comment