EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, February 24, 2014

WAFANYA BIASHARA MTWARA WAMJIA JUU AFISA USHIRIKA

HALI YA SOKO NDIYO HII
NA: KASSIM NGUMBI
Umoja wa wafanya biashara wa soko kuu mkoani mtwara WABISOKO wamemtaka afisa ushirika wa wilaya kutekeleza ilani za uongozi kwa kuwasaidia wafanya biashara wa soko hilo ambao wamekuwa wakinyimwa haki zao za msingi na viongozi wa umoja walioko sasa madarakani.katika kikao cha siri kilichofanywa siku ya jumamosi na wafanya biashara ambao ni wanachama wa umoja huo mkoani mtwara kikishirikisha waandishi wa habari akiwamo muhandishi wa habari hii kili zungumzia juu ya hali ya utawala wa soko ilivyo kwa sasa huku vviongozi wa soko hilo wakibainika kuhozi madaraka pasipo kuitisha mkutano mkuu wa wanacham wala kufanya uchaguzi kama kanuni za uongozi wa soko hilo zinavyoeleza. moja kati ya wajumbe waliohudhulia kikao hicho ambaye jina lake limefichwa kwa sababu za kiusalama alimueleza muhandishi wetu kuwa kwa utaratibu uchaguzi wa soko unatakiwa kufanyika ila baada ya miaka mitatu na mtu anaruhusiwa kugombea kwa awamu tatu akiwa bado kiongozi lakini ikipita miaka 9 hatoruhusiwa kugombea nyazifa yeyote ya uongozi katika soko hilo lakini wao wamekuwa wakishangaa kuona kuwa toka uchaguzi ufanyike mwaka 2009 mpaka sasa ni miaka mitano huku hakuna uchaguzio wala dalili za uchaguzi na kwamba viongozi hao hata hivyo kiwango chao cha elimu ni kidogo na kwamba wamepitisha klanuni za uongozi kwani wengine wamekuwa wakiongoza toka mwaka 1994 lakini hawaachi madaraka hata hivy wamesema wanachohitaji kwa sasa ni mkiutano mkuu wa wafanya bishara ambao utakuwa ni sehem ya kumaliza matatizo yao na katika hili wamemtaka afisa ushirika kuchukua hatua ya kuitisha kikao hicho kwakuwa viongozi bhusika wameshindwa kufanya hivyo.lakini pia hata hali ya soko hairidhishi kimazingira na kwamba ni machafu mno.
ZAIDI SIKILIZA HAPA..........................

No comments:

Post a Comment