EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, February 28, 2014

CHADEMA YAJIHAKIKISHIA USHINDI KALENGA NA HIZI NDIZO HARAKATI ZAKE ZA KAMPENI


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrfod Slaa akiwahutubia wananchi  wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni wa uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa juzi.
Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni juzi. 


Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega akisalimiana na mmoja wa wazee wa kijiji cha Kiwele, baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo juzi.

Wananchi wa kijiji cha Kiwele wakiitikia moja ya salama za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakati wa mkutano wa kampeni za chama hicho za uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa juzi.

Mh Lwakatare akiongea na Wananchi jimboni Kalenga


Mgombea ubunge Kalenga Grace Mvanda akipungia mikono wakazi wa Kalenga

Kamanda Mawazo Jimboni Kalenga



No comments:

Post a Comment