Msimu huu, Ronaldo ameshapiga mabao 7 akiwa na Real Madrid ambao wamefunga Bao 12 katika Mechi 3.
Ruud van Nistelrooy, Filippo Inzaghi na Hernán Crespo, walifunga mabao yao 8 Hatua za Makundi Msimu wa 2004/05 kwa Van Nistelrooy, 2002/03 kwa Crespo na Inzaghi.
- BAADHI YA NYOTA AMBAO WALIKARIBIA REKODI HIYO KWENYE HATUA ZA MAKUNDI:
2013/14: Ronaldo (7), Ibrahimovic (6) –
2012/13: Burak and Ronaldo (6)
2011/12: Gomez and Messi (6)
2010/11: Eto'o (7)
2009/10: Ronaldo (6)
2008/09: Benzema, Gerrard, Klose, Messi (5)
2007/08: Ibrahimovic, Ronaldo (5)
2006/07: Drogba, Kaká, Morientes (5)
No comments:
Post a Comment