
Mnamo tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha
Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20,
Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu aliuawa kwa kupigwa fimbo kichwani
na Tolo s/o Seko, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu.
Chanzo ni ugomvi wa kumgombania msichana aitwaye Holo d/o Kulwa, miaka 16, Msukuma mkulima na mkazi wa Nkwangu.
Mtuhumiwa amekamatwa na taratibu za kumfikisha mahakamani zinaandaliwa.
Kamanda
wa polisi mkoa wa Mbeya kamishna msaidizi wa polisi diwani athumani
anatoa wito kwa jamii kutojichukulia sheria mkononi kwani ni kinyume cha
sheria na kudhibiti hasira zao kwa kuyatatua...
NAY WA MITEGO ASHANGAA KUONA WASHINDI WA BSS WAKIFULIA LICHA YA KULIPWA PESA ZA KUTOSHA

Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji
ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa
washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote.
“Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. Mshindi
analipwa nini mbona kama magumashi?! Namuona Walter Chilambo kapigika km
zamani, haji ramadhani kachoka yupo kitaani.
"Nauliza milioni hamsini
zao anazila nani, acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani. #966#,
salam zao# my new track,” aliandika Nay Wa Mitego kupitia Instagra...
MJANE ALIYETIMULIWA KATIKA MSIBA WA MWANAJESHI WA JWTZ AJITOSA TENA KUHUDHURIA MAZISHI YA MUMEWE

FAMILIA ya Marehemu, Fortunatus Msofe, ambaye ni mmoja wa wapiganaji
wa JWTZ, waliofia Darfur, wamemzuia aliyekuwa mchumba wake Amina Juma
kushiriki katika mazishi na kumfungia mlango wa nyumba ya marehemu
asiingie ndani mara tu baada ya taarifa za kifo cha marehemu kuwafikia.
Hata
hivyo Amina amelazimika kwenda Tanga kushiriki shuguli za mazishi ya
marehemu pamoja na kwamba familia ya marehemu haitaki kumuona katika
msiba huo.
Akizungumza na gazeti moja la
kilasiku la kiswahili nchini Tanzania, Amina alisema kwamba ingawa awali
alikata tamaa ya kumzika mwenzake, lakini jana aliamua kwenda Tanga
kuhudhuria mazishi na...
No comments:
Post a Comment