
Habari iliyoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima ikimhusisha Prof.
Lipumba na udini imewachefua CUF na kuwafanya watoe waraka mkali
wakiita Serikali kulichukulia hatua gazeti la Tanzania Daima kwa
uchochezi wa kidini..
Chama hicho kimedai kuwa Lengo la Gazeti la Tanzania Daima na
Mwandishi wake ni kupandisha hasira za Waislam
<<HABARI IKO HAPA>>
--------------------------------------------------------------------
HUU NI WARAKA WA CUF:
CUF TUNASHANGAZWA NA JINSI SERIKALI INAVYOSHINDWA KULICHUKULIA HATUA
GAZETI LA...
CCM YAPINGA KODI YA LINE ZA SIMU

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekuja juu na kuitaka Serikali kuangalia
njia nyingine mbadala ya kukusanya kodi na kuachana na mpango wa kuanza
kuwatoza wananchi tozo ya Sh 1,000 kila mwezi kwa kila laini ya simu ya
kiganjani.
Hatua hiyo, inatokana na kilio cha wananchi ambao tangu Bunge la
Bajeti kwa mwaka 2013/14 kupitisha sheria hiyo, kumekuwa na manung’uniko
mengi.Uamuzi huo, ulipitishwa na Bunge baada ya mjadala mkali
pindi bajeti ilipotangazwa kitendo kilichomfanya Waziri wa Fedha na
Uchumi, Dk. William Mgimwa kuomba Serikali ipewe muda wa kutosha wa
kujadili suala hilo.Baada ya majadiliano na Kamati ya Bajeti
ambayo inaongozwa...
No comments:
Post a Comment