Wachezaji wawili tokakatika klabu ya Simba beki Shomari Kapombe na kiungo Amri Kiemba wanatarajia kuondoka nchini kuelekea nje ya nchi katika uhamisho wa kisoka Taarifa hizi zilizokuwa zimezagaa kote nchini zimethibitishwa jana na Mwenyekitiwa klabu hiyo Aden Rage na kusema kuwakapombe anatarajia kutiomkia nchini HOLAND kwenye majaribio na tayari wameshamalizana nae kwa kumpatia kibali cha kuelekea huko hivyo mda wowote ataondoka nchini kwani alitakiwa kufika nchini Holandsiku sita nyuma.
![]() | |||
amri kiemba jezi nyekundu simba |
Wakati suala la Kiemba akieleza kuwa nalo liko katika hatua za mwishokwani klabuya samba imeiagiza klabu ya Raja Kasablanka kuleta nyalaka zaofa atayoipata mchezaji wao ili wajiridhishe na kuondoka kwa kapombe kuelekea katika klabu hiyo Rage aliongeza kwa kusema wao wako kwa ajili ya kuona wachezaji wanapata maendeleo kwenye maisha ya soka hivyo hawawezi kumzuia mchezaji kutimka katika klabu yao isipokuwa tu wajiridhishe na kule anakoelekea.
No comments:
Post a Comment