EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, June 19, 2013

HATIMAYE MZOZO WA SIMBA NA LEWING WAMALIZIKA AKABIDHIWA DOLLA LAKI SABA KAMA FIDIA



Hatimaye mzozo uliokuwa kati ya Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya samba Patrick Lewing na klabu hiyo umefikia tamati hatua hiyo imekuja mara baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubali kumlipa Lewing kiasi cha pesa ambacho alikuwa akiidai Simba maelezo ya kuthibitishwa toka kwa mwenyekiti wa Simba bw Aden Rage yanasema kuwa wamekubaliana na lewing yeye pamoja na kamati yake kuwa atakabidhiwa dola Laki saba ikiwa Laki sita ni malipo ya madai yake na Laki moja kama fidia ya usunbufu Rage alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akifanya mahojiano na moja ya kituo cha Redio hapa nchini kuhusianana sakata hilo hata hivyokiongozi huyoemeeleza kuwa Lewing atatumiwa pesa zake muda mfupi mara baada ya kuwasirinchini kwao ufaransa ikumbukwe kuwa Lewing ameifundisha samba nusu msimu akimpokea Mirovan Cikovich na baadae kutimuliwa baada ya msimu kumalizika kutokana na kile kilichodaiwa kushindwa kuipa mafanikio klabu hiyo na nafasi yake kwa sasa imechukuliwa na kocha mzawa wa Tanzania Abdallah Kibaden King.

No comments:

Post a Comment