EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 9, 2012

SIMBA HIYOO YAFUTA MACHOZI SUPER 8, YAMCHAPA MTU 2-0

Baada ya jana kushindwa kuwaka katika mechi ya kuazimisha sikukuu ya clabu hiyo ambayo ilipatwa kichapo cha mabao matatu kwa moja mbele ya umati wa mashabiki wake,hatimaye leo simba imedhihilisha kuwa wao ni mabingwa halali wa Tanzania bara kwa kuibuka na ushindi wa bao mbili kwa bila katika michuano ya super 8 inayoendelea hivi sasa hapa nchini.

No comments:

Post a Comment