EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 9, 2012

MTIBWA SUGAR YAIBAMIZA AZAM BAO MBILI SIFURI super 8 leo.

Timu ya mtibwa sugar leo imeonyesha makucha yake mara baada ya kuibamiza timu ya walamba kon wa Azam bao 2-0 leo katika mechi ya super 8 iliyopigwa jioni katika uwanja wa Chamaz jijini Dar es salaam ambao unamilikiwa na timu hiyo ya Azam tukio hili limekuja wakati ambao azam wamekuwa wakisheherekea kupata kocha mpya aliyewasili nchini hivi juzi na kupokelewa na timu hiyo.

No comments:

Post a Comment