EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

OKWI AIMWAGA SIMBA RASMI BAADA YA KUFUDHU MAJARIBIO AUSTRALIA.

Kiungo mshambuliaji mganda ambaye amefanya vyema sana katika michuano ya ubingwa wa taifa nchini Tanzania akiwa na clabu yake ya Simba,kwa sasa taarifa zilizoifikia clabu hiyo ni ya kukatisha tamaa kabisa kuhusu mchezaji huyo kurejea tena na kukipiga Simba kutokana na kiungo huyo kufudhu majaribio yake ambayo alikuwa akiyafanya huko Australia.

No comments:

Post a Comment