EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

CHINA KUVUTANA SHATI NA MAREKANI KATIKA OLYMPIQ

Nchi ya china imeonekana kuongoza kwa upataji wa medani mbalimbali katika michezo ya olimpiq inayoendelea hivi sasa huko jijini Londoni wakati hatua moja nyuma marekani ikionekana kuja kwa kasi. Mpaka kufikia leo usiku china imekuwa inaongoza kwa kupata medani 30 huku 17 zikiwa ni za dhahabu wakati huo Marekani ikimfuata nyuma kwa kupata medani 29 huku 12 zikiwa ni za dhahabu na marekani yemyewe ikifutatiwa na korea.

No comments:

Post a Comment