EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

MAHAKAMA YA KAZI YATOA HUKUMU KWA CHAMA CHA WAALIMU cwt

Mahakama ya kazi nchini Tanzania leo imetoa hukumu kwa chama cha walimu nchini CWT kwa kuwataka walimu wote warejee katika sehemu zao za kazi na kukitaka chama hicho kusitisha mgomo huo mapema huku adhabu ya faini ikiwa mbele yao kwa kosa la kuwakosesha wanafunzi haki yao za msingi ya kupata elimu

No comments:

Post a Comment