EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, August 21, 2012

CHADEMA YAIBUKA KIDEDEA KESI YA UBUNGE JIMBO LA IGUNGA

Taarifa za hivi punde,
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema dakika chache zilizopita hii leo imetangazwa kushinda kesi yao ya madai juu ya aliyekuwa mbunge wa jimbo la igunga huko mkoani Tabora kupitia chama cha mapinduzi ccm,mara baada ya matokeo hayo yaliyotolewa na jaji wa mahakama ya rufaa ya Tabora,kiongozi wa zamani wa jimbo hilo ameelezea kutoridhishwa kwake na matokeo hayo huku akidai kuwa jaji hakutenda haki upande wake na ndio mana hata yeye hakuwa na imani na jaji huyo toka mwanzo wa kesi hiyo.

No comments:

Post a Comment