EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, August 21, 2012

Katika tukio hilo ambalo linamhusisha kijana ajulikanaye kwa jina la HASSAN KIRUTA ambaye kwa sasa anashikiriwa na polisi wa wilaya hiyo. Inadaiwa kuwa kijana huyo alifika nyumbani kwa mama mmoja alijulikana kwa jina la mama TABU akiwa amebeba mfuko mdogo uliokuwa na Bangi ndani yake,mara baada ya kufika walizungumza kwa muda na wenyeji wa nyumba hiyo dakika chache baadae alianza kudai mfuko wake wa bangi ambao aliuweka nyuma ya mlango huku akidai kuwa anahamu ya nyama ya mtu watu wote walitawanyika kukimbia mara kijana huyo alipochomoa panga lakini mule ndani mulikuwa na kikongwe ambaye alishindwa kukimbia na ndipo alimcharanga mapanga na kukoka moto nje ya nyumba kisha kumbanika kikongwe huyo, hakuishia hapo tu pia alichoma moto nyumba ambayo alifanya tukio.mpaka watu wanafika eneo la tukio na kumkamata walikuta nyama ya kikongwe ikiwa imebanikwa na inaendelea kuiva.

No comments:

Post a Comment